Turibi wa Astorga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Turibi wa Astorga (402 hivi - Astorga, Hispania, 476 hivi) alikuwa kwanza mkaapweke, halafu askofu wa mji huo ambaye alipambana na uzushi wa Waprisiliani[1], Wamani, Waario, Wapelaji pia kwa agizo la Papa Leo I ambaye barua aliyomuandikia imetufikia[2][3].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads