U and Dat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"U and Dat" ni kibao cha pili kutoka katika albamu ya E-40 My Ghetto Report Card. Kibao kimemshirikisha msanii T-Pain na Kandi Burruss. Kibao kilitayarishwa na Lil Jon. Remix yake ilitolewa mwanzoni mwa mwezi wa Agosti na Juelz Santana, Snoop Dogg, na Lil Flip. Kibao hiki hupewa kete ya kwamba ndicho kilichompelekea T-Pain kuwa maarufu na kitikio bab-kubwa katika orodha ya nyimbo za hip hop zilizofanywa na T-Pain.
Remove ads
Chati
Kigezo:Kandi Girl
| Makala hii kuhusu wimbo wa hip hop bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads

