Ulaya ya Kaskazini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ulaya ya Kaskazini
Remove ads

Ulaya ya Kaskazini ni sehemu ya kaskazini ya bara la Ulaya. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili.

Thumb
Ulaya ya Kaskazini na nchi zinazokubaliwa kwa kawaida kuwa sehemu zake
Thumb
Kanda za UM linaonyesha visiwa vya Britania kuwa sehemu ya Ulaya ya Kaskazini.

Kwa hakika tamko hili lamaanisha:

  • Wakati mwingine hata nchi nyingine kando la Bahari ya Baltiki kama Urusi ya kaskazini-magharibi, Poland ya kaskazini, Ujerumani ya Kaskazini zinahesabiwa humo.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads