Until the End of Time (wimbo)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Until the End of Time (wimbo)
Remove ads

"Until the End of Time" ni single iliyotolewa mnamo mwaka wa 2001 na msanii wa hip hop 2Pac. Wimbo ulitolewa baada ya kufa kwake na umetoka katika albamu yenye jina sawa na huli la wimbo. Wimbo ulipata mafanikio makubwa kabisa na ulikuwa mchango mkubwa kwa albamu na kuipeleka katika ngazi ya 3x Platinum. Wimbo umemshirikisha msanii R.L. kutoka katika kundi la R&B - Next. Muziki wa video wa wimbo huu umeshirikisha picha mchanganyiko za Shakur ambazo awali hazikutolewa. Wimbo ulifikia nafasi ya #52 kwenye chati za Billboard Hot 100. Biti la wimbo huu limechukua sampuli ya wimbo wa Mr. Mister wa mwaka wa 1985 #1 "Broken Wings".

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

  1. "Until the End of Time"
  2. "Thug N U, Thug N Me" - Remix
  3. "Baby Don't Cry" - 2Pac & Outlawz
  4. "Until the End of Time" - CD-ROM video
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads