Until the End of Time

From Wikipedia, the free encyclopedia

Until the End of Time
Remove ads

Until the End of Time ni albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha rapa Tupac Shakur. Albamu imebeba maujanja ambayo awali hayakutolewa na maremixi kibao ya manyimbo kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati ameingia mkataba na Death Row Records. Albamu hii ilikuwa ya pili kutolewa bila kutiwa maujanja ya Shakur mwenyewe. Until the End of Time ilikuwa ikibatabiliwa sana kwamba itakuwa albamu bora ya hip hop kimauzo na kuishia kama ilivyotabiliwa mnamo 2001.

Ukweli wa haraka Studio album ya 2Pac, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Disc 1

  1. "Ballad of a Dead Soulja" - 4:16 prod by. johnny J
  2. "Fuck Friendz" - 5:20 prod by. QD3
  3. "Lil' Homies" - 3:40 prod by. Johnny J
  4. "Let 'em Have It" (Akishirikishwa: SKG) - 4:53 prod by. LT Hutton
  5. "Good Life" (Akishirikishwa: Big Syke, E.D.I.) - 4:17 prod by. Mike Mosley
  6. "Letter 2 My Unborn" - 3:55 prod by. Johnny J & Trackmasters
  7. "Breathin'" (Akishirikishwa: Outlawz) - 4:05 prod by. Johnny J
  8. "Happy Home " - 3:57 prod by. Johnny J
  9. "All Out" (Akishirikishwa: Outlawz) - 5:33
  10. "Fuckin' wit' the Wrong Nigga" - 3:38 prod by. Tyrone Wrice
  11. "Thug N U, Thug N Me (Remix)" (Akishirikishwa: KCi & JoJo) - 4:12 prod by. Johnny J
  12. "Everything They Owe" - 3:08 prod by. Johnny J
  13. "Until the End of Time" - 4:27 prod by. Johnny J & Trackmasters
  14. "M.O.B." (Akishirikishwa: Thug Life, Outlawz) - 5:01 prod by. Kurt "Kobane" Couthon
  15. "Worldwide Mob Figgaz" (Akishirikishwa: Outlawz) - 4:38 prod by. Johnny J

Disc 2

  1. "Big Syke Interlude" - 1:46
  2. "My Closest Road Dogz" - 4:05 prod by. Johnny J
  3. "Niggaz Nature (Remix)"(Akishirikishwa: Lil' Mo) - 5:04 prod by. QD3
  4. "When Thugz Cry" - 4:23 prod by. Johnny J
  5. "U Don't Have 2 Worry" (Akishirikishwa: Outlawz) - 5:08 prod by. QD3
  6. "This Ain't Livin'" - 3:42 prod by. Johnny J
  7. "Why U Turn on Me?" - 3:33 prod by. 2Pac
  8. "Lastonesleft" (Akishirikishwa: Outlawz) - 4:00 prod by. Johnny J
  9. "Thug N U, Thug N Me" (Akishirikishwa: KCi & JoJo) - 4:29 prod by. Johnny J
  10. "Words 2 My First Born" (Akishirikishwa: Above the Law) - 4:08 prod by. Dj Quik
  11. "Let 'em Have It (Remix)" (Akishirikishwa: Left Eye) - 4:53 prod by. LT Hutton
  12. "Runnin' on E" (Akishirikishwa: Outlawz, Nutt-So) - 5:38 prod by. 2Pac
  13. "When I Get Free" (Akishirikishwa: J. Valentine) - 4:30 prod by. Johnny J
  14. "Until the End of Time (RP Remix)" (Akishirikishwa: Richard Page) - 4:28 prod by. Johnny J & Trackmasters
Remove ads

Chati za albamu

Maelezo zaidi Mwaka, Billboard 200 ...

Single za albamu

Maelezo zaidi Maelezo ya single ...



Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Until the End of Time kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads