Uzushi wa kidini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Uzushi wa kidini (kwa Kiingereza: heresy, kutoka neno la Kigiriki: αἵρεσις, yaani "chaguo" [1] ) ni fundisho lolote lililo tofauti la yale yanayotolewa rasmi katika dini fulani, kama vile Uyahudi, Ukristo na Uislamu[2] .


Kwa kawaida ndiyo chanzo cha madhehebu mapya.
Uzushi huo unatazamwa kama kosa linaloweza kuadhibiwa kwa wahusika kutengwa hata kuuawa[3].
Hata hivyo, ni tofauti na uasi ambao unakataa kabisa dini yenyewe[4].
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads