Varanasi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Varanasi (pia: Benares) ni jiji la Jimbo la Uttar Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.2 (2011). Ni mji mkubwa wa thelathini na moja nchini Uhindi, na ni maarufu kama mahali pa hija kwa Wahindu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads