Mharagwe-pana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mharagwe-pana (jina la kisayansi: Vicia faba) ni jina la mmea katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa maharagwe mapana.
Asili ya mmea huu ni Mashariki ya Kati lakini siku hizi hukuzwa mahali pote katika kanda za nusutropiki na wastani.
Vipande vinavyolika ni mbegu (bichi na bivu), matumba machanga na majani.
Remove ads
Picha
- Maua
- Ua kwa karibu
- Tumba changa
- Mavuno ya matumba
- Maharagwe katika tumba
- Maharagwe mapana yaliyopikwa
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads