Visensiani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Visensyani (kwa Kifaransa: Vicentien, Viance; 623-672 hivi[1]) alikuwa mkaapweke katika eneo la Tulle, mkoa wa Akwitania, leo nchini Ufaransa[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads