Volta (mto)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Volta (mto)
Remove ads

Volta ni mto muhimu wa Afrika ya Magharibi. Inaanza katika maungano ya matawimto yake ya Muhun (Volta nyeusi), Nazinon (Volta nyekundu) na Nakambe (Volta nyeupe) karibu na mji wa Salaga, Ghana.

Ukweli wa haraka Mto wa Volta ...
Thumb
Matawimto ya Volta ndiyo Muhun (Volta nyeusi), Nazinon (Volta nyekundu) na Nakambe (Volta nyeupe) pamoja na maungano ya mito katika Burkina Faso na Ghana.

Katika Ghana boma la lambo la Akosombo (Ghana) limesababisha kutokea kwa ziwa Volta ambalo ni lambo kubwa kabisa duniani. Baada ya kuondoka katika ziwa hilo lisilo asilia Volta inaingia katika Ghuba ya Guinea ya bahari Atlantiki.

Remove ads

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Volta (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads