Vumatiti

Ndege wakubwa kiasi wa maji wanaojificha katika uoto wa vinamasi From Wikipedia, the free encyclopedia

Vumatiti
Remove ads

Vumatiti ni ndege wakubwa wa nusufamilia Botaurinae na Tigrisomatinae katika familia ya Ardeidae ambao wana domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga tago lao kwa matawi, manyasi na mimea ingine katikati ya matete au juu ya miti. Tago limefichika kwa kawaida.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Nusufamilia Botaurinae

Nusufamilia Tigrisomatinae

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Nusufamilia Botaurinae

Nususfamilia Tigrisomatinae

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads