Wafiadini Waabrahamu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wafiadini Waabrahamu (walifariki Konstantinopoli, leo Istanbul nchini Uturuki, 835 hivi) ni kundi la wamonaki wa mji huo ambao waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Teofilo wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu [1].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 8 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads