Wafipa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wafipa ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Rukwa, hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Lugha yao ni Kifipa.
Hapo awali, miaka ya 1880, waliongozwa na Mtemi Kapufi wa Nkansi. [1] Ilihifadhiwa 13 Januari 2024 kwenye Wayback Machine.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads