Waldebati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Waldebati (pia: Waldebert, Gaubert, Valbert, Walbert; 595 hivi - 668 hivi) alikuwa mtawala tajiri na askari ambaye alipata kuwa mkaapweke na hatimaye abati wa tatu wa Luxeuil kuanzia mwaka 628, akimrithi Eustasi, mwanafunzi wa Kolumbani[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads