Walter wa Servigliano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Walter wa Servigliano (kwa Kiitalia: Gualtiero; alifariki Servigliano, Italia ya Kati, 1250 hivi) alikuwa mkaapweke ambaye hatimaye alianzisha huko monasteri [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads