Wanas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wanas (kwa Kiarabu: القديس ونس; alifariki karne ya 4) ni jina la mtoto wa Misri aliyeuawa kwa kukatwa kichwa kutokana na juhudi zake katika kueneza imani ya Kikristo[1][2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kikopti kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 25 Novemba.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads