Wandendeule
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wandendeule ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Ruvuma, hasa maeneo ya wilaya ya Namtumbo.
Lugha yao ni Kindendeule.[1]
Utamaduni
Mila zao ni nyingi. Wasichana wakishabalehe wanapelekwa porini kuchezwa unyago, na hurudishwa nyumbani kwa shangwe na vigelegele.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads