Wanksta

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wanksta
Remove ads

"Wanksta" ni single ya pili kutoka katika albamu ya kibwagizo halisi cha filamu ya 8 Mile. Kibao kilitolewa mnamo mwaka wa 2002, wimbo, ulioimbwa na 50 Cent, ulifikia nafasi ya 13. Ulikuwa wa kwanza kutumiwa kwenye mixtape ya No Mercy, No Fear.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...
Remove ads

Nafasi ya chati

Maelezo zaidi Chati (2002), Nafasi iliyoshika ...

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads