Waoratori
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Waoratori (kifupi: C.O.) ni mapadri na mabruda wa Kanisa Katoliki wanaoishi pamoja kijumuia kwa kufungwa na upendo, bila ya nadhiri.

Shirika hilo lilianzishwa na Filipo Neri (1515–1595) mjini Roma. Leo lina nyumba zaidi ya 70 ulimwenguni kote, zikiwa na mapadri 500 hivi.[1]
Watakatifu wa shirika
- Filipo Neri (1515-1595). Alitangazwa tarehe 12 Machi 1622. Sikukuu yake ni tarehe 26 Mei.
- Fransisko wa Sales (1567–1622). Alitangazwa tarehe 8 Aprili 1665. Sikukuu yake ni tarehe 24 Januari.
- Jose Vaz (1651–1711). Alitangazwa tarehe 14 Januari 2015. Sikukuu yake ni tarehe 16 Januari.
- Luigi Scrosoppi (1804–1884). Alitangazwa tarehe 10 Juni 2001. Sikukuu yake ni tarehe 5 Oktoba.
- John Henry Newman (1801–1890). Alitangazwa tarehe 13 Oktoba 2019. Sikukuu yake ni tarehe 9 Oktoba.
Remove ads
Wenye heri wa shirika
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads