Wasabaot

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wasabaot ni jina la kabila dogo la Waniloti ambalo huhesabiwa la asili zaidi katika kabila kuu la Wakalenjin.

Wanaishi kwenye mlima Elgon, nchini Kenya.

Lugha

Wao huongea Kisabaot, lahaja ya lugha ya Kikalenjin, mojawapo ya lugha za Kiniloti.

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads