Washona

From Wikipedia, the free encyclopedia

Washona
Remove ads

Washona ni watu wanaotumia lugha ya Kishona wanaokaa hasa Zimbabwe pamoja na nchi jirani.

Thumb
Familia ya Kishona.

Nchini Zimbabwe Washona ni takriban milioni 13 hivyo zaidi ya asilimia 80 za wananchi wote.

Historia

Mababu wa Washona waliunda milki kubwa kama Zimbabwe Kuu na Munhumutapa. Katika karne ya 19 wengi wao walifikishwa chini ya utawala wa Wandebele kutoka Afrika Kusini, kabla ya kuvamiwa na ukoloni wa Waingereza.

Kati ya Washona mashuhuri wako wanasiasa Robert Mugabe, Emmerson Mnangagwa, na Morgan Tsvangirai.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Washona kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads