Wasilvesta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wasilvesta ni wamonaki Wabenedikto wanaofuata urekebisho ambao ulianzishwa na Silvesta Guzzolini katika karne ya 13 na kukubaliwa na Papa mwaka 1248.

Kutoka monasteri za Fabriano, Italia, shirika limeenea sasa katika nchi za Sri Lanka, India, Australia, Marekani, Ufilipino na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Tazama pia
| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasilvesta kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
