Watachoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Watachoni ni kabila la watu wenye asili ya Wakalenjin wanaoishi magharibi mwa Kenya, hasa katika kaunti ya Bungoma na kaunti ya Kakamega.
Kwa kuchanganyikana na Waluhya, siku hizi lugha yao ni Lutachoni, lahaja ya Kiluhya, mojawapo kati ya lugha za Kibantu.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads