Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Norwei

From Wikipedia, the free encyclopedia

Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Norwei
Remove ads

Makala hii inaonyesha orodha ya Mawaziri Wakuu (kwa Kinorwei statsminister) wa Norwei.

Ukweli wa haraka
Thumb
Frederik Stang alikuwa Waziri Mkuu kwanza wa Norwei.
Thumb
Gro Harlem Brundtland alikuwa mwanamke kwanza aliyekuwa Waziri Mkuu wa Norwei.
Remove ads

Mawaziri Wakii tangu 1873 mpaka 1945

Maelezo zaidi Jina, Tangu ...
Remove ads

1940–1945: Vita Kuu ya Pili ya Dunia

  • Waziri Mkuu aliyefukuzwa: Johan Nygaardsvold
  • Waziri Mkuu: Vidkun Quisling (Nasjonal Samling) (tangu 5 Aprili mpaka 15 Aprili 1940)
  • Mktuano wa baraza ya utawala: Ingolf Elster Christensen (tangu 15 Aprili mpaka 25 Septemba 1940)
  • Mawaziri wa Naibu (tangu 1940 mpaka 1942)
  • Rais wa Mawaziri: Vidkun Quisling (Nasjonal Samling) (tangu 1942 mpaka 1945)

Mawaziri Wakuu tangu 1945

Thumb
Jens Stoltenberg ni Waziri Mkuu sasa.
Maelezo zaidi Jina, Tangu ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads