Whitney Houston (albamu)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Whitney Houston (albamu)
Remove ads

Whitney Houston ni jina la albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa pop na R&B wa Kimarekani Bi. Whitney Houston. Albamu ilitolewa tarehe 4 Februari 1985 kwenye studio ya Arista Records. Awali albamu ilikuwa na matokeo madogo ya kibiashara, lakini imeanza kukusanya mafanikio yake kunako 1986 kwa msaada wa vikali vikali vitatu vilivyoingia kwenye chati za Billboard Hot 100 vikiwa nafasi ya kwanza. Albamu inabaki kuwa kama albamu iliouza vizuri kwa upande Houston mpaka leo hii, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 25 kwa dunia nzima,[9] na pia ni miongoni mwa albamu zilizouza vizuri nchini Marekani na pande zingine za dunia kwa muda wote. Whitney Houston

Ukweli wa haraka Studio album ya, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha Nyimbo

  1. "You Give Good Love" (LaLa) – 4:37
  2. "Thinking About You" (Kashif, LaLa) – 5:26
  3. "Someone for Me" (Raymond Jones, Freddie Washington) – 5:01
  4. "Saving All My Love for You" (Gerry Goffin, Michael Masser) – 3:58
  5. "Nobody Loves Me Like You Do" (James Patrick Dunne, Pamela Phillips-Oland) – 3:49
  6. "How Will I Know" (George Merrill, Shannon Rubicam) – 4:36
  7. "All at Once" (Masser, Jeffrey Osborne) – 4:29
  8. "Take Good Care of My Heart" (Steve Dorff, Pete McCann) – 4:16
  9. "Greatest Love of All" (Linda Creed, Masser) – 4:51
  10. "Hold Me" (Creed, Masser) – 6:00
Remove ads

Historia ya chati

Albamu
Maelezo zaidi Nchi, Nafasi Iliyoshika ...

|

Single
Maelezo zaidi Mwaka, Single ...

|}

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads