Wiho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wiho (pia: Wicho, Wito, Vuiho; Ljouwert, leo nchini Uholanzi, karne ya 8 - Osnabruck, leo nchini Ujerumani, 20 Aprili 804/805) alikuwa abati, halafu askofu wa kwanza wa jimbo la Osnabruch, lililoanzishwa na Karolo Mkuu mwaka 772 ili kuinjilisha Wasaksoni [1]. Kwa ajili hiyo aliteseka sana[2].
Chini yake jimboni kilianzishwa kimojawapo kati ya vyuo vya juu vya Ujerumani, Gymnasium Carolinum.
Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads