WikiLeaks
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
WikiLeaks ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalochapisha habari za siri zinazofichuliwa na watu wasiojitambulisha (kwa Kiingereza: news leaks[1] and classified media provided by anonymous sources[2]).

Tovuti yake, iliyofunguliwa na Sunshine Press mwaka 2006 huko Iceland [3], ina nyaraka milioni 10.[4]
Mwanzilishi wake ni Julian Assange. Toka mwaka 2018, Kristinn Hrafnsson ni mhariri wake mkuu.[5]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads