Wilaya ya Bunda Mjini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Bunda Mjini ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya ya Bunda ilihesabiwa kuwa 260,000 [1] na katika ile ya mwaka 2022, baada ya kumegwa, wale wa Mjini walihesabiwa 182,970 [2].
Makao makuu ya wilaya yapo mjini Bunda.
Misimbo ya posta wilayani ni 31501 hadi 31528.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads