Wilaya ya Magu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Magu ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Mwanza.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 299,759 waishio humo. [1] na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 421,119 [2].
Makao makuu ya wilaya yako Magu Mjini.
Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu 334.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads