Wilaya ya Nyamira
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Nyamira ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kisii na kuitwa pia Kisii Kaskazini. Wilaya hii ilikuwa na watu 492,102 kulingana na sensa ya mwaka 1999.
Makao makuu yalikuwa mji wa Nyamira wenye watu takribani 10,000 kulingana na hesabu ya 1999.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nyamira.
Remove ads
Maeneo ya Utawala ya Wilaya
Remove ads
Majimbo ya Uchaguzi
Wilaya ya Nyamira ina majimbo matatu ya Uchaguzi:
- Eneo Bunge la Kitutu Masaba
- Eneo Bunge la Mugirango Kaskazini
- Eneo Bunge la Mugirango Magharibi
Tazama Pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads