Winifrida

From Wikipedia, the free encyclopedia

Winifrida
Remove ads

Winifrida (pia: Gwenffrewi, Winefride, Winifred, Wenefreda, Guineura; Flintshire, 600 - Conwy, 660) alikuwa bikira Mkristo wa Wales aliyeishi kama mmonaki[1].

Thumb
Kioo cha rangi kikimuonyesha Mt. Winifrida huko Cardiff, Wales.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu, pengine mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Novemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads