Wolfeius

muingereza mtakatifu mroma mkatoliki From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wolfeius alikuwa mkaapweke katika wilaya ya Norfolk, Uingereza.

Anajulikana tu kutokana na maandishi ya William Worcester, anayemtaja kama mkaapweke wa kwanza wa Mt. Benet Hulme.[1]

Labda alifariki katika karne ya 11, tarehe 9 Desemba ambayo imekuwa sikukuu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads