Yarilati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yarilati (kwa Kieire: Iarlaithe mac Loga; 445 hivi - 540 hivi) alikuwa askofu katika kisiwa cha Ireland[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 19 Juni 1902.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo vikuu
Vyanzo vingine
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads