Yemi Alade

From Wikipedia, the free encyclopedia

Yemi Alade
Remove ads

Yemi Eberechi Alade (kwa kifupi hujulikana kama Yemi Alade; amezaliwa 19 Machi 1989) ni mwimbaji kutoka nchini Nigeria akifanya muziki wa Afropop na pia ni mwandishi wa nyimbo mbalimbali. Mwanamuziki amekuwa akifahamika kutokana na kibao chake kijulikanacho kama Johnny.

Thumb
Yemi Alade
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Remove ads

Maisha ya awali

Yemi alade alizaliwa Abia, nchini Nigeria akiwa ni mtoto wa James Alade na Helen Uzoma. Baba yake alikua kamanda wa jeshi la polisi mwenye asili ya kiyoruba na mama yake alikua pia kamanda wa jeshi la polisi mwenye asili ya Igbo. Yemi Alade ni mtoto wa tano katika familia yenye watoto saba. Elimu yake ya msingi alisoma katika shule iitwayo St. Savior British Primary School na baadae kusoma elimu yake ya sekondari katika shule iliyoitwa Victory Grammar School huko jijini Lagos na baadae alisomea Jiografia katika Chuo kikuu cha Lagos.

Remove ads

Diskografia

Albamu

Maelezo zaidi Kichwa, Yaliyomo ...
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yemi Alade kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads