2 Oktoba

tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tarehe 2 Oktoba ni siku ya 275 ya mwaka (ya 276 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 90.

Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Matukio

Waliozaliwa

Remove ads

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Malaika walinzi, Eleuteri wa Nikomedia, Saturi, Leodegari na Jerini, Beregisi, Ursichini wa Chur, Theofilo wa Bulgaria n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 2 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads