Yethro

From Wikipedia, the free encyclopedia

Yethro
Remove ads

Yethro au Reueli (kwa Kiebrania יִתְרוֹ, Yitro, Yiṯrô; kwa Kiarabu شعيب, Shuayb) alikuwa mfugaji na kuhani katika rasi ya Sinai[1].

Thumb
Musa akimuaga Yethro kadiri ya Jan Victors, 1635 hivi (Kut 4:18). Yetro ameketi upande wa kulia.

Ni maarufu kwa kumuoza binti yake Zipora kwa Musa, mkombozi wa Israeli kutoka Misri, na kumpa mkwe wake shauri zuri kuhusu uongozi.

Waislamu wanamheshimu kama nabii; anatajwa mara 11 katika Kurani.

Wadruzi wanamheshimu kama mwanzilishi wa dini yao.

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads