Zipora
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zipora (kwa Kiebrania צִפוֹרָה, Tsippora au Ṣippôrā, yaani ndege; kwa Kigiriki Σεπφώρα, Sepphōra; kwa Kiarabu صفورة, Ṣaffūrah) anatajwa katika kitabu cha Kutoka kama mke wa Mose, na binti Yetro, kuhani wa Midiani.[1][2][3][4][5]

Alimzalia Mose watoto wawili wa kiume: Gershom na Eliezer.
Kitabu cha kwanza cha Mambo ya Nyakati [6] kinataja wajukuu wake wawili: Shebueli, mwana wa Gershom, na Rehabia, mwana wa Eliezer.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads