Yethro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yethro au Reueli (kwa Kiebrania יִתְרוֹ, Yitro, Yiṯrô; kwa Kiarabu شعيب, Shuayb) alikuwa mfugaji na kuhani katika rasi ya Sinai[1].

Ni maarufu kwa kumuoza binti yake Zipora kwa Musa, mkombozi wa Israeli kutoka Misri, na kumpa mkwe wake shauri zuri kuhusu uongozi.
Waislamu wanamheshimu kama nabii; anatajwa mara 11 katika Kurani.
Wadruzi wanamheshimu kama mwanzilishi wa dini yao.
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads