Yohane Mwema
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yohane Mwema (641 hivi - 669) anatajwa kama askofu wa kale wa Milano, nchini Italia, ambaye alirudisha makao makuu ya jimbo katika mji huo kutoka Genova yalipokaa miaka 70 kwa sababu ya dhuluma ya Walombardi[1].

Kutokana na wema na uadilifu wake, tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads