Yohane Fransisko Regis
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yohane Fransisko Regis, S.J. (Fontcouvert, 31 Januari 1597 - Lalouvesc, 31 Desemba 1640) alikuwa padri wa Shirika la Yesu nchini Ufaransa.

Baada ya kuhudumia wagonjwa wa tauni, alikwenda kuhubiri na kuungamisha mfululizo milimani na vijijini ili kuinua imani ya Kikatoliki katika roho za waumini wa jimbo la Viviers kuanzia mwaka 1633 hadi kifo chake [1].
Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 18 Mei 1716, halafu Papa Klementi XII alimtangaza mtakatifu tarehe 5 Aprili 1737.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads