Yohane wa Parrano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Yohane wa Parrano (aliishi katika mkoa wa Umbria, karne ya 6) kwa miaka 40 alikuwa abati nchini Italia na kulea wamonaki wengi[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 19 Machi[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads