Yosefu Maria Rubio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yosefu Maria Rubio (Dalias, leo nchini Hispania, 22 Julai 1864 - Aranjuez, Hispania, 2 Mei 1929) alikuwa padri wa Shirika la Yesu, ambaye anaitwa mtume wa Madrid kwa jinsi alivyotangaza Injili huko, hasa kwa kutembelea mitaa maskini, mbali ya kuhubiri mafungo na kuungamisha waliotubu [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 6 Oktoba 1985 akamtangaza mtakatifu tarehe 4 Mei 2003[2][3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads