Yusto wa Condat

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Yusto wa Condat alikuwa mmonaki wa monasteri ya Condat nchini Ufaransa[1].

Ingawa habari za maisha yake ni chache mno, tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2]. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius X tarehe 9 Desemba 1903[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Julai[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads