Yusto wa Trieste

From Wikipedia, the free encyclopedia

Yusto wa Trieste
Remove ads

Yusto wa Trieste (karne ya 3 - Trieste, Italia, 2 Novemba 303 hivi) alikuwa Mkristo aliyefia imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Thumb
Sanamu yake juu ya mnara wa kengele wa kanisa kuu la jimbo la Trieste.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Novemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads