Zakaria wa Mercurion
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zakaria wa Mercurion (alifariki kwenye eneo hilo la mlima Pollino, mkoa wa Basilicata, 950 hivi BK) anakumbukwa kama mmonaki aliyeitwa "wa kimalaika" akaanzisha monasteri[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa mwaka 1807.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Januari[2]
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads