Zhang Huailu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zhang Huailu (Zhuketian, 1843 hivi - Zhuketian, 9 Julai 1900) alikuwa mkatekumeni wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia akipata nguvu kwa ishara ya msalaba na kubatizwa katika damu yake mwenyewe [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 1 Julai[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads