Herakli na Zosimo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Herakli na Zosimo (walifariki Karthago, 263 hivi) ni kati ya Wakristo wa Tunisia waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya makaisari Valeriani na Gallienus.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads