From Wikipedia, the free encyclopedia
Yohane wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa pamoja na ndugu yake Paulo tarehe 26 Juni 362 kwa ajili ya imani yake chini ya kaisari Juliani Mwasi (361–363).
Inasemekana walikuwa matowashi na mashemasi na walikatwa vichwa vyao.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini na kutajwa pamoja katika kanuni ya Kirumi.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.