14 Shots to the Dome
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
14 Shots To The Dome ni jina la albamu ya tano ya rapa LL Cool J. Albamu ilitoka mnamo mwaka wa 1993, na ni ya kwanza tangu kurudi kwake kwenye albamu ya mafanikio makubwa ya Mama Said Knock You Out. Iko tofauti kidogo kidogo toleo hili, ambamo kazoeleka kuonekana akifanya mambo na maujanja yake mwenyewe, 14 Shots inamwonesha LL akiibia maujanja ya gangsta rap za West coast, hasa zile za Ice Cube na Cypress Hill. Washabiki wengi wameiona hii kama safari kali, na albamu imepata tahakiki mchanganyiko na imefikia viwango vinavyotakiwa, na kutunukiwa Dhahabu na RIAA.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- "How I'm Comin'"
- "Buckin' Em Down'"
- "Stand By Your Man"
- "A Little Somethin"
- "Pink Cookies in a Plastic Bag Getting Crushed by Buildings"
- "Straight from Queens" (Featuring LT.)
- "Funkadelic Relic"
- "All We Got Left Is the Beat"
- "No Frontin' Allowed" (Featuring Lords of the Underground)
- "Back Seat (Of My Jeep)"
- "Soul Survivor'"
- "Ain't No Stoppin' This"
- "Diggy Down'"
- "Crossroads"
Single
Mwaka | Nyimbo | Chati | |||
Billboard Hot 100 | Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | Hot Rap Singles | |||
1993 | "How I'm Comin" | #57 | #28 | #8 | |
"Stand by Your Man" | - | #67 | #24 | ||
"Back Seat (Of My Jeep)" | #42 | #24 | #2 | ||
"Pink Cookies in a Plastic Bag" | #42 | #24 | #2 |
Remove ads
Viungo vya Nje
14 Shots to the Dome at MusicBrainz
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Shots to the Dome kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads