In da Club

From Wikipedia, the free encyclopedia

In da Club
Remove ads

"In da Club" ni wimbo wa hip hop ulioimbwa na rapa 50 Cent kutoka kwenye albamu yake ya kwanza ya kibiasha, Get Rich or Die Tryin'. Wimbo ulitayarishwa na Dr. Dre kwa ushirikiano wa Mike Elizondo. 50 Cent, Dr. Dre, na Elizondo wameutunga wimbo huu. Wimbo ulitolewa mwishoni kabisa mwa mwaka wa 2002 ukiwa kama wimbo kiongozi wa albamu na ulipata sifa nzuri katika medani ya muziki.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

"In da Club" umekuwa wimbo wa kwanza wa 50 Cent na ilikuwa single namba moja katika miaka ya 2003 na ulikuwa wimbo mashuhuri Marekani na kuingia katika tano bora za nchi za Ulaya. Katika sherehe za ugawaji wa Tuzo za Grammy za 46, ilipata kupigiwa kura katika kundi la Nyimbo Bora za Msanii wa Kiume - Solo na Wimbo Bora wa Rap.

Remove ads

Orodha ya nyimbo

  1. "In da Club" (clean)
  2. "In da Club" (explicit)
  3. "Wanksta"
  • Australian CD single[2]
  1. "In da Club"
  2. "Wanksta"
  3. "In da Club" (instrumental)
  4. "In da Club" (multimedia track)
  5. "Wanksta" (multimedia track)

Chati zake

Maelezo zaidi Peak position ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads